SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ni jambo muhimu kwa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kusimamia na kudhibiti matumizi salama ya vyanzo vya mionzi nchini.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ni jambo muhimu kwa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kusimamia na kudhibiti matumizi salama ya vyanzo vya mionzi nchini, ili vitoe mchango zaidi katika maendeleo ya Taifa.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi aliyasema hayo alipoweka jiwe la msingi la ofisi […]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa CCM, kuweka usimamizi mzuri wa mapato yanayotokana na mradi wa maduka ya Darajani.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia mchele wa Mbeya wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika Marikiti Kuu ya Darajani Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-2-2023,na kuzungumza na Mfayabishara wa Bidhaa za Vyakula katika marikiti hiyo Bw.Seif Khamis Ali na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama […]

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam Mwinyi amesema taasisi hiyo inatekeleza kwa vitendo Sera ya Uchumi wa Buluu

Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi (kulia) akimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi,(wa pili kulia) alipokuwa akitoa shukurani baada ya mazungumza na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar. MKE wa Rais […]

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema taasisi za dini na za kiraia zina mchango mkubwa kwa Serikali hasa kwenye jukumu zima la kuendeleza amani na maendeleo nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Askofi Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 20-2-2023 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema taasisi za dini na za kiraia […]